Hewa hii pia ina vumbi, bakteria, virusi na kuvu. Hizi husafiri kwenye njia yetu ya upumuaji na kufikia mapafu. Hata hivyo, hatuhitaji kuwa na wasiwasi kuhusu hili. Mfumo wetu wa kupumua unajua ...
Ikiwa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa taarifa kuhusu uwepo wa kimbunga Jude katika Bahari ya Hindi, eneo la ...
Hali ya hewa ya joto kali inazidi kushuhudiwa mara kwa mara na inazidi kuwa mbaya zaidi katika maeneo mengi kwa sababu ya mabadiliko ya hali ya hewa. Wanasayansi wanasema hali hii itaendelea ...