Gari la rais wa Marekani kwa jina maarufu ''The Beast'' limetajwa kuwa gari salama zaidi duniani. Gari hilo aina ya Cadillac lenye uzito wa takriban kilo 9000 ambalo kila mara rais anapokuwa ...