Wiki hii katika ulimwengu wa magari: Bugatti imeweka rekodi mpya ya gari la wazi lenye kasi kubwa zaidi duniani, Cadillac imezindua gari lake jipya aina ya SUV (gari maridadi) linalotumia umeme.