Wanawake wawili wanaodhaniwa kuwa washirikina wamekamatwa alfajiri hii wakiwa watupu katika madhabahu ya Kanisa la KKKT Dayosisi ya Kaskazini, wilayani Hai, mkoani Kilimanjaro. Tukio hili limeleta ...
MSEGI Nyakilang’anyi (48), Mkazi wa Mtaa wa Kibaoni katika Mamlaka ya Mji Mdogo wa Hai, mkoani Kilimanjaro, aliyepata ulemavu wa viungo kwa ajali ya kuanguka barabarani miaka 24 iliyopita,amesema ...